Numbers 7:4-6

4Bwana akamwambia Musa, 5“Vikubali vitu hivi kutoka kwao, ili viweze kutumika katika kazi kwenye Hema la Kukutania. Wapatie Walawi kama kazi ya kila mtu itakavyohitaji.”

6Hivyo Musa akachukua yale magari ya kukokotwa pamoja na maksai, na kuwapa Walawi.
Copyright information for SwhKC